2 Corinthians 3:6

6 aNdiye alituwezesha sisi kuwa wahudumu wa agano jipya: si wa andiko, bali wa Roho; kwa kuwa andiko huua, bali Roho hutia uzima.

Utukufu Wa Injili

Copyright information for SwhKC